Friday, 10 May 2013

Picha za watanzania wanao ishi mapangoni



Maisha haya si ya kwenye movie au hadithi za kusadikika ila ni masha ya baadhi ya watanzania ambao mpaka sasa bado wanaishi kwenye mapango wakila nyama na mizizi ya porini, Je? wewe kama mdau wetu una maoni gani kuhusu picha hizi mtu wetu...

Maoni yako andika jina na email yako kwenye chart box yetu alafu twende sawa...


Baada ya kutoka mawindoni, hapa msosi ukiandaliwa...........


Wanaume wakishirikiana kuandaa nyama choma, na mwanamke pembeni akionekana kumnyonyesha mtoto......


Vipande vya nyama vilivyokua tayari kwa ajili ya
kuchomwa......



Je? Unaweza pika bila kuonja?









Haya twende mezani bhasi.


Kwa mnofu huu sipati obesit, afya na amani, maisha
 marefu pia usisahau....




Je? kwa baga hili? jibu unalo mtu wetu...

Bhasi kwa stori hii ya picha unaweza uka share
nasi nini umejifunza, kwa kuandika maoni yako
kwenye chart box yetu kulia.....

Thursday, 9 May 2013

Leo katika kipindi cha mambo mambo na RFA

 Swali ni Je? Ikiwa serikali ikakataza matumizi ya nywele bandia "wigi" kwa akina dada, muonekao kwao utakuaje
Maoni/Majibu yako katika chart box yetu hapo kulia watu wetu karibuni sana...
Unachotakiwa kufanya ni kuandika email yako na jina lako, kisha andika message yako au maoni.